Utangulizi

- Author: United Nations Department of Economic and Social Affairs
- Main Title: Usimamizi wa Rasilimali za Miundombinu kwa Maendeleo Endelevu , pp xxxiii-xxxiv
- Publication Date: September 2022
- DOI: https://doi.org/10.18356/9789216040796c004
- Language: Swahili
Serikali duniani kote zinatafuta mbinu mpya za kugharimia za kuziba mapengo ya ugharimiaji wa miundombinu ili kuwezesha Malengo ya Maendeleo Endelevu. Mara nyingi jitihada hizi hazipangi bajeti ya rasilimali fedha, watu na vifaa zinazohitajika ili kusimamia rasilimali za miundombinu katika kipindi chote cha maisha ya rasilimali. Kutokana na uzingativu madhubuiti katika “upya na uimara”rasilimali za zamani mara nyingi husahaulika waka rasilimali mpya zikijengwa bila kuweka muundo wa usimamizi ambao utakuwa wa uhakika, jumuishi na endelevu katika huduma muhimu.
© 2021 United Nations
ISBN (PDF):
9789216040796
Book DOI:
https://doi.org/10.18356/9789216040796
Sustainable Development Goals:
-
From This Site
/content/books/9789216040796c004dcterms_title,dcterms_subject,pub_keyword-contentType:Journal -contentType:Contributor -contentType:Concept -contentType:Institution105
/content/books/9789216040796c004
dcterms_title,dcterms_subject,pub_keyword
-contentType:Journal -contentType:Contributor -contentType:Concept -contentType:Institution
10
5